Siyo siri tena ujasiriamali wa Kiluwa kuweza kukusanya rasilimali pesa kwa wageni huku akitumia udhaifu wa mfuko wa Halmashauri zetu na Serikali ya mkoa wa Pwani umegota rasmi leo pale magogoni kutokana na Rais Magufuli kuungana na Lukuvi kupingana na aina ya fursa anazochangamkia Kiluwa...