Kipa Aishi Manula amerejea rasmi katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars, kitakachoingia kambini Machi 22, 2026 kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya FIFA Series 2026.
Orodha hiyo iliyotangazwa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi inajumuisha mchanganyiko wa wachezaji wa ndani na wanaocheza nje...