Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida.
Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki tatu mwili ukavimba na leo kafariki.😥
Kuleni kunyweni lakini pombe hasa bila kula ni hatari kwakweli.