Jeshi la Polisi mkoani Arusha, limesema linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aitwaye Abdilah Musa maarufu kwa jina la Banjo ambaye alifariki dunia huko katika Wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma.
Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Kamishna Msaidizi...