kesi za kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    SirJeff(Ontario) wa Forex yupo Jela kwa kesi za kisiasa au alitengeneza mazingira hayo kesi za utapeli zilipozidi?

    Kwa wale wasiomjua SirJeff Dennis, basi huyu ndiye mmoja wa waasisi wakuu waliowahamasisha Watanzania wengi kufuatilia biashara ya forex na mifumo ya online forex. Hii si kusema hawakuwepo wengine wanaojua kuhusu biashara hii, lakini yeye alisambaza maarifa haya kwa njia ya kipekee. Katika mwaka...
  2. Mzee Wasira: Hakuna kesi za kisiasa Tanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, ameeleza kuwa mchakato wa maridhiano ya kitaifa haupaswi kutumika kama kinga ya kukwepa uwajibikaji wa kisheria kwa wale waliohusika katika uhalifu. Katika mahojiano maalumu na gazeti Mwananchi, Wasira amepinga vikali dhana ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…