Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimetangaza kuwa kampuni ya kisheria Amsterdam and partners, LLP ya Marekani kwa sasa itakuwa na wajibu wa ushauri wa kisheria na uwakilishi katika kesi zinazokikabili chama hicho nchini Tanzania.
Kulingana na Chadfema, uamuzi huo unatokana na...