kesi ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PostGE2025 Mahakama Kuu Kigoma yakataa kusimamisha Kesi ya Uchaguzi Jimbo la Kigoma Mjini

    Tarehe 9, Januari 2026 Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Kigoma, imetupilia mbali ombi la Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigoma Mjini na Mwanasheria Mkuu wa Serikali la kutaka kusimamisha usikilizwaji wa kesi ya kupinga matokeo ya ubunge katika jimbo hilo. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji...
  2. PostGE2025 Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba Levo latupiliwa mbali, Kesi ya Uchaguzi

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, na hivyo kufungua rasmi mlango wa kusikilizwa kwa ushahidi katika shauri la uchaguzi la Jimbo la...
  3. LGE2024 Kigoma: ACT Wazalendo kufungua kesi kuwashtaki Wasimamizi wa Uchaguzi

    Chama cha ACT Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini kimeamua kufungua kesi mahakamani kwenda kuwashtaki Wasimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa, Wasimamizi Wasaidizi pamoja na walioshinda na kuapishwa katika nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Novemba 27...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…