kesi ya rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

    Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
  2. Waziri wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahukumiwa miaka 14 jela na mkewe 7

    Wakuu, Leo Januari 17, 2025, Mahakama ya Pakistan imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani, Imran Khan, kifungo cha miaka 14 jela na mkewe, Bushra Bibi, kifungo cha miaka 7, kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mamlaka na ufisadi kuhusiana na Taasisi ya Al-Qadir University Project Trust. Uamuzi ulitolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…