kesi ya mhadhiri udom

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, huku mahakama ikimwekea masharti ya mwenendo. Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mhadhiri UDOM yaahirishwa tena hadi Septemba 10, 2026, Hakimu hakutokea Mahakamani

    Kesi inayomkabili Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kitunzi Kaijage, imeahirishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, huku mshtakiwa akiendelea kusota rumande akisubiri shauri lake kuendelea. Wakili anayesimama upande wa mshtakiwa, Meshack Ngamando, amesema kesi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…