Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa kipindi hiki vinapoteza maandishi kwa muda mfupi tangu vitolewe hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa...