kero foleni kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Serikali haijengi Flyover makutano ya barabara Mwenge!

    Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta, Bunju, Kunduchi n.k. Ni eneo ambalo miundombinu yake si ya kimajaribio, bali ni eneo la mkakati...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna foleni kubwa ofisi ya vizazi na vifo Manispaa ya Kahama, unaweza kutumia siku nzima kupata huduma

    Manispaa ya kahama, ofisi ya vizazi na vifo kuna changamoto kubwa ya foleni, kwani unaweza kutumia siku mzima kupata huduma! Nashauri mamlaka husika kuongeza watendaji, kwani kuna mtoa huduma mmoja tuu na idadi ya watu ni kubwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…