Shirika la Kenya Power limetangaza kuwa limefanikiwa kurejesha huduma ya umeme katika maeneo yote yaliyoathiriwa na hitilafu kubwa iliyosababisha kukatika kwa umeme katika sehemu mbalimbali za nchi.
Hitilafu hiyo, iliyotokea usiku wa Jumatano, iliathiri maeneo ya Nairobi, Pwani, Mlima Kenya na...