Kazi za viwandani sio kazi ni zaidi ya mateso, imagine unafanya kazi masaa 12 unapewa 4000 hapo bado hujatoa hela ya nauli, chakula na bado haubaki na hata mia.
Asilimia kubwa ni viwanda vya wahindi na waarabu ndio wanaongoza kwa kulipa malipo kidogo kwa wafanyakazi na sasa hivi wabongo nao...