kazi na utu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Padri ahoji Je hii ndio Kazi na Utu? Alihesabu miili 13 ya waliouawa MO29 mbele ya Kanisa

    Kwa nini ionekane ni kosa kwa Kanisa kukemea mauaji? Kwani nini
  2. PICHA: Kutoka kazi na utu hadi kazi na vitu

  3. Dkt. Maria Josephine Atunukiwa Shahada ya Heshima na Kikwete UDSM - Kazi na Utu

    Dkt. Maria Josephine Kamm ambaye ni Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Taasisi ya Mama Clementina, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutokana na mchango wake katika kuinua sekta ya Elimu hasa kuanzisha shule za wasichana katika mikoa ya Kilimanjaro...
  4. GE2025 Samia: Hakuna Chama kitakachoweza kwa sasa hivi kulinda na kuinua Utu wa Mtanzania kama siyo CCM

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna chama chochote cha siasa nchini kinachoweza kulinda na kuinua utu wa Mtanzania kama CCM. Akihutubia wananchi wa Mchinga mkoani Lindi katika mkutano wa kampeni...
  5. GE2025 Rais Samia: Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele

    "Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele, sasa hii ni kwa Taifa hata mtu mmoja mmoja, ukifanya kazi ipasavyo unainua utu wako mwenyewe kwasababu kazi itakulipa ujira na ujira utatumia kufanya maendeleo yako binafsi, lakini ukifunga mikono...
  6. CCM mnaposema kazi na utu mnamaanisha nini?

    Kama sielewi kabisa... Kazi na Utu ndiyo nini? CCM huwa mnakuja na kauli mbiu, lakini hii ni ya kiwango cha chini?
  7. Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

    Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza? a). Ambulance b). Gari ya zimamoto c). Kiongozi wa Serikali d). Watajipanga wenyewe? Soma pia: Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka Chanzo: Mwanachuo got talent
  8. Watumishi, wakulima, wanachuo, wanafunzi, wafanyabiasha, vijana, akina Mama, wazee, wanasiasa na sector binafsi. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.

    Husika na mada tajwa hapo juu. Hayo makundi yote hapo juu. Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako. Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
  9. GE2025 Unafanya kazi sana na huna utu unabwagwa

    Mjumbe wa NEC Richard Kasesela amesema Wajumbe wanapaswa kuwachagua viongozi ambao licha ya kazi yao watazingatia Utu . Kasesela amesema Kazi na utu ndizo nguzo huku akisema unaweza fanya kazi sana ukakosa utu itapelekea kubwagwa. Ikumbukwe hii ni kauli mbiu Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…