Mkurugenzi wa Kituo cha Usaidizi wa Kisheria cha Everlasting Legal Foundation (ELAF), Dkt. Hamis Masoud, amelaani vikali lugha za uchochezi wa kidini, akisisitiza kuwa kama tunakwenda kwenye hatua ya maridhiano hatupaswi kutengeneza vita mpya ya migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa Watanzania...