Kama unavyosoma hapo kwenye title, hiyo ni kauli nliyoambiwa na mke wangu wa ndoa na nimezaa nae watoto kadhaa copyright na mimi.
Kimsingi tunaishi mbalimbali muda mrefu sana kutokana na masuala ya kikazi na utafutaji. Nahisi tayari anakandwa huko. Kwa kauli hii kuna ndoa kweli hapa?
Mi...