Moja ya kitu siwezi kukisaau ni KAULI za hayati Magufuli enzi za maradhi ya korona hakika zilizuia taharuki kubwa sana kwa wananchi,
Wapo walio KAIDI ushauri wao na kwakweli waliondoka na korona kabisa hasa walio puuza kujifukiza uku wanavitambi vya wizi WA FEDHA za UMMA walisepeshwa.
Si hizo...
Wanajamvi,
Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo...