Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho uliofanyika Septemba 2, 2025, katika eneo la Manzese jijini Dar es Salaam, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitaweka mpango...