katibampya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Muundo Bora wa Muungano ni Upi: Serikali Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Lete Hoja Yako, Tuichambue Pamoja, Kisha Piga Kura

    Miongoni mwa maswali magumu zaidi katika mchakato wa Katiba Mpya ni muundo wa Muungano. Badala ya kubishana, hebu kila mmoja alete hoja yake kwa nini anaona muundo fulani ni bora, tuchambue faida na hasara kwa pamoja, kisha tupige kura kwa uzito wa hoja, si kwa hisia. Nianze mimi kwa kuweka...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Katiba inatatua matatizo yote ya Taifa? Jibu la kweli, na kwa nini pendekezo hili linastahili macho ya kisomi

    Kila mara mjadala wa Katiba Mpya unapoibuka, hujitokeza hoja moja yenye mvuto: hatuhitaji Katiba, tunahitaji hospitali, dawa, ajira na maji, na Katiba haitakupa dawa uliyoikosa. Hoja hii ina sehemu ya ukweli, na ni lazima tuikabili kwa uwazi badala ya kuikwepa. Ni kweli. Katiba haitengenezi...
  3. JamiiForums Tanzania Maoni ya Pendekezo la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.(Katiba iliyokamilika yote na yenye ujumbe mzito mno) 🇹🇿✅ Tafadhati Usipuuze

    Habari ndugu zangu wa Tanzania. Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika. Nina jambo muhimu sana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Watanzania tuwajibike

    Tanzania ni nchi yenye Mipango, sera na mikakati mizuri lakini mipango hiyo huwa inatekelezwa chini ya kiwango au kutofikiwa kabisa mfano ukisoma dira ya maendeleo iliyo andikwa mwishoni mwa miaka ya tisini ikilenga mpango wa maendleo wa miaka 25 kutoka 2000 hadi 2025 mipango ile kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…