kaskazini pemba

Pemba North Region or North Pemba Region (Mkoa wa Pemba Kaskazini in Swahili) is one of the 31 regions of Tanzania. The region covers an area of 574 km2 (222 sq mi) and is comparable in size to the combined land area of the nation state of Saint Lucia. and the administrative region is located entirely on the island of Pemba. Pemba North Region is bordered to the north by Indian Ocean, south by Pemba South Region and the west by Pemba channel. The regional capital is Wete. According to the 2012 census, the region has a total population of 211,732.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Kaskazini Pemba: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Kaskazini Pemba, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kaskazini Pemba una jumla ya Majimbo ya uchaguzi (9) ambayo ni: Gando - Salim Mussa Omar...
  2. GE2025 Dkt. Mwinyi: Kwenye Kampeni huwasikii wenzetu akihubiri amani, unasikia siasa za Chuki, Uongo na Ubaguzi

    Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza alipokutana na makundi ya vijana wa CCM kisiwani Pemba, katika mwendelezo wa mikutano yake ya kampeni, hafla iliyofanyika...
  3. GE2025 Dkt. Mwinyi: Tudumishe amani, tusikubali Siasa za chuki

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kuwapuuza wanasiasa wasiohubiri amani, akisisitiza kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya maendeleo ya Taifa...
  4. LGE2024 Mtwara: UVCCM Kaskazini Pemba alala chini kuwaombea kura CCM Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhandisi Ali Suleiman Ali ameendelea kuchanja mbuga nyumba kwa nyumba mitaani...
  5. PreGE2025 Kaskazini Pemba: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kaskazini Pemba ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania, unapatikana Kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba, huko Zanzibar. Mkoa wa Kaskazini Pemba una Halmashauri mbili (2) na majimbo ya uchaguzi tisa (9) ambapo Jimbo la Kojani linaongoza kwa kuwa na watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…