Katika kuadhimisha Wiki ya Mama, Timu ya Kampeni ya Mama Asemewe imefanya ziara katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, ambapo wameeleza umuhimu wa kuchagua viongozi bora kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 pamoja na kuonyesha kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini...