Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amesema Chama chao kiliamua kushiriki Uchaguzi Mkuu ili kuonyesha uzalendo na kudumisha amani na mshikamano kama Taifa moja
Prof. Lipumba amesema hayo Oktoba 5, 2025 kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la...
Sintofahamu imeibuka katika eneo la Usinge Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora kabla ya mapokezi ya mgombea urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Gombo Samandito Gombo baada ya baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufika kwenye eneo hilo na kuanza...