kampeni ccm zanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Mgombea ubunge Jimbo la Mtambile Pemba: Oktoba 29 tumemaliza, hakuna Maandamano

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtambile Pemba kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa katika Jimbo la Mtambile ni sherehe za ushindi za CCM zinaendelea na hakuna dalili za maandamano yoyote Muhammad ameyasema hayo katika mfululizo wa kampeni za CCM katika...
  2. R

    GE2025 Rais Mwinyi akabidhi Boti ya Wagonjwa (Ambulance) Kisiwa cha Kojani-Zanzibar

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Boti ya kisasa ya kuwabebea wagonjwa kwa wakazi wa Kisiwa cha Kojani kilichopo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
  3. R

    GE2025 Hemed : Hao wanaosimama kuwatukana Kiongozi mbona wao hawatoki wamo kwenye serikali hiyohiyo, CCM itashinda na Rais ataapishwa

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kiwani kupitia Chama cha Mapinduzi, Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wananchi katika Mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za CCM ndani ya Jimbo la Kiwani uliofanyika katika Uwanja wa Kwareni Muwambe, Wilaya ya Mkoani Pemba, amewaomba wananchi kumpa kura ili aweze...
  4. R

    GE2025 Rais Samia: Oktoba 29 Tokeni kapigeni kura hakuna jambo baya litatokea

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni leo Septemba 18, 2025 katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema kuwa nchi yetu Tanzania ipo vizuri kwenye masuala ya Ulinzi na Usalama na kuwataka wananchi kuondoa hofu...
  5. R

    GE2025 Rais Samia: Ahadi ya CCM Miaka 5 ijayo ni kudumisha Demokrasia, Utawala Bora na kujenga Taifa linalojitegemea

    Mgombea wa nafasi ya rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassana akizungumza na Wananchi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo, tarehe 18 Septemba, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema ahadi za Chama cha Mapinduzi...
  6. R

    GE2025 Sadifa Hamisi: Samia na Dkt. Mwinyi wanafaa kuendelea Miaka isiyopungua 20 huo ndio ukweli

    Mgombea Ubunge Jimbo la Donge Zanzibar kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Sadifa Juma Hamisi akizungumza na wananchi kwenye Kampeni inayofanyika Septemba 18, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar, amesema kuwa Wagombea Urais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Mwinyi wanafaa kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…