:Uongozi ndani ya CCM si cheo, bali ni dhamana inayopatikana kwa safari ya majaribio, maumivu, subira na kujitoa bila masharti. Wapo waliogombea na wakashindwa, lakini hawakurudi nyuma wala kuhama Chama. Walitumikia chama kwa nguvu zote, wakajenga imani, na leo wamepewa tena nafasi ya kugombea...