kamati kuu ya chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siri kuu yaghubika Vikao vya Kamati kuu ya Chadema, Wananchi wapagawa, wataka Majina yatangazwe

    Sasa ni Dhahiri kwamba Chadema ndio Nchi, Hii ni kwa sababu Habari za Chama hicho ndio pekee ambazo wananchi wanataka kuzisikia. Bunge la Bajeti linaendelea lakini cha Ajabu Wananchi wote hawafuatilii kabisa! Sitaki kusema wamelipuuza, maana nitakuwa nafanya Uchochezi, Bali hali hii inatisha...
  2. JamiiForums Tanzania Siri nzito Kamati Kuu ya CHADEMA ikikutana zaanza kuvuja

    Kama tulivyosema hapo awali, kishindo cha Kamati kuu ya CHADEMA, afadhali hata ukutane na tetemeko la ardhi. Japo ukimya umetanda lakini cheche zake zimeanza kubabua baadhi ya watu. Usithubutu kuondoka JF kuanzia muda huu ili usipitwe na jambo zito!
  3. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Dar es Salaam

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema, ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake, inakutana tena Jijini Dar es Salaam. Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme, bei na uhaba wa mafuta, Mkataba wa Bandari, Katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Maridhiano na mengine...
  4. JamiiForums Tanzania Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuhusu suala la Bandari

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI. 1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu. 2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA watoto wao ni raia wa nchi zingine

    Kitendo cha chama cha CHADEMA kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini. Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…