kamanda muliro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kejeli za Kamanda Murillo hazifiki hata Nusu ya zile za Mahita, hata hivyo kuna maisha baada ya Upolisi

    Hakuna Polisi wa Tanzania aliyevunja rekodi ya Ukatili wa IGP wa zamani Omari Mahita, lakini tuiangalie hali ya sasa ya Omari Mahita baada ya Upolisi wake kwisha Hapa chini ni picha ya Mahita wa leo akipokelewa na RPC Murillo kwenye maziko ya OCD wa Chanika Kwa Kejeli za Mahita usingedhani...
  2. L

    PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tuliimarisha na kuweka ulinzi mkali Kisutu kutokana na matishio ya kiusalama na vitendo vya uhalifu

    Kuhusu suala la usalama Mahakama ya Kisutu kwa ujumla usalama uliimarishwa kwa kiwango cha juu kufuatia taarifa mbalimbali za matishio zilizokuwa zikipatikana kuhusiana na suala la kesi inayomkabili Tundu Lissu tarehe 24/04/2025. Kazi ya kuzuia vitendo vya kihalifu inaendelea kwani hilo ndio...
  3. PreGE2025 Polisi yakana kuwashikilia Heche na wenzake! Wasema walikuwa wanazuia fujo kutokana na kutokuwepo uwanja wa mkutano

    Wewe Si wa kusema Eneo la Mkutano wa CDM Lina wafanyabiashara, mara Kuna Wanachama hawakiungi mkono CDM, mara wapo wanao support na blaa blaa blaa za Hovyo hovyo !!. Hayo hukuyajua wakati CCM wanafanya mikutano yao Kariakoo?? Mlishawahi wazuia CCM wasifanye mikutano hapo??. Au CCM ikiwa na...
  4. PreGE2025 Kamanda Muliro: Wao wanajiita CHADEMA, sisi tunajua ni Watanzania. Tutamshughulikia yeyote wasijitoe ufahamu

    Wakuu, Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na utulivu. Hata hivyo Kamanda Muliro ameongeza kuwa hawatasita, kumshughulikia mtu yeyote atakayeleta...
  5. PreGE2025 Kamanda Muliro: Tumejipanga kuimarisha ulinzi Uchaguzi wa CHADEMA. Sisi sio wageni hapa Mlimani City, wanaoshangaa ndio wageni

    Wakuu, Kama mnavyojua leo ndo ile siku ya Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA na saa chache kabla ya Uchaguzi huo kuanza Jeshi La Polisi limetoa msimamo wake Akizungumza na Samuel Sasali, Kamanda Muliro amesema kuwa wamejipanga kutoa ulinzi katika eneo la Mlimani CIity na kwamba...
  6. S

    Kamanda Muliro, wewe na watu wote wanajua Polisi wawili uliowasimamisha kazi unawaonea, walichofanya ni utaratibu wa siku nyingi wa traffic polisi!

    Kamanda Jumanne Muliro, tuache unafiki, tuache kuoneana. Unatutangazia kuwasimamisha hawa Polisi wawili walioonekana wakichukua fedha kwa makondakta wa dadadala kwa sababu wamefanya kosa au kwa sababu wameanikwa mitandaoni? Ina maana hujui kwamba kila siku traffic wanaokuwa barabarani wanafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…