Kupitia mitandao ya kijamii,kumekuwepo na chapisho linalodai kuwa Mogaj Kibabage, anayedaiwa kuwa kaka wa mchezaji wa Simba SC, Nickson Kibabage, ambaye anahudumu katika Jeshi la Marekani amepandishwa cheo kutoka Koplo (Corporal) hadi Sajenti (Sergeant) baada ya kufaulu kozi maalumu ya kijeshi...