Kafala system ni utamaduni wa washamini ambao unatumiwa na nchi za kiarabu kuajiri wafanyakazi hasa wa ndani. Hivyo machawa tusiwashangae ni makafala au mafala. Wanapewa pesa kusifia maboss wao maana wameshikilia kila sehemu ya maisha yao
Sisi tuendelee kupigania nchi tuwchane na makafala