Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Abdulrazack Amir Juma, amesema kuwa viongozi wa kidini, hususan waliopo kwenye jumuiya za maridhiano, mapadri, wachungaji na masheikh, wameshughulika sana kuhubiri amani na ushirikiano kati ya waumini na viongozi wa kisiasa. “Nafasi yetu kubwa ni...