Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya, amesema mafunzo yanayotolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni suluhu muhimu katika kukabiliana na changamoto ya ajira kwa vijana nchini, hususan kizazi cha Gen-Z.
Maganya ametoa kauli...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya akiwa katika Kipindi cha mahojiano cha Medani za Siasa akijibu swali la Mwandishi wa Habari Edwin Odemba ikimtaka atoe maoni yake kuhusiana na Hoja na kauli za aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat...