Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
1. Yahaya
2. Siwema
3. Usiusemee Moyo
4. I...