josephat msukuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu kusafiri masafa marefu zaidi ya miaka mitano

    Ndgu wapendwa Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
  2. Musukuma: Kabudi leo nakuzingua, uje na majibu mgogoro wa dabi ya Simba na Yanga

    "...Mheshimiwa Mwenyekiti namuuliza kaka yangu Kabudi mheshimiwa waziri, na nilikuona kutokana na mgogoro uliopo kwenye timu zetu hizi kubwa mbili nilikuona ulitoka saa nne usiku kwenye kikao lakini baada ya kutoka mle shaaa, mpaka leo hatujajua kilichotokea kule, natanguliza maneno haya ili...
  3. R

    PreGE2025 Msukuma ataka watumishi wa umma na wateule wa Rais wadhibitiwe wasichukue pesa za serikali kwenda kugombea ubunge

    Mzee Msukuma amekiri kwamba wabunge wa Tanzania wana kinga dhidi ya tuhuma za rushwa Kimantiki amesema wapo viongozi wanakwapua fedha za umma kwenda kuzitumia kugombea ubunge Ameeleza viongozi wengi wa umma wameomba kugombea lakini akataka wasipewe idhini hadi wafanyiwe special audit Je...
  4. W

    PreGE2025 Msukuma: Kuna fukuto la kumuondoa Tundu Lissu CHADEMA

    Mbunge wa Geita Vijijini, Mhe. Joseph Musukuma, amesema kuwa kampeni ya No Reforms No Election inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haina nafasi ya kufanikiwa kwa sababu haina uwezo wa kuzuia uchaguzi mkuu. Aidha, amedai kuwa kuna mipango inayoendelea ndani ya chama hicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…