Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mwanza, John Nzilanyingi akizungumza na vijana wa jimbo hilo amesema hakuna maandamano yatakayofanyika Disemba 9, 2025.
"Tarehe 9 hakuna maandamano, Natamani tutume ujumbe kwa mabeberu ambao wanataka kutuchonganisha vijana wa jiji la Mwanza wamekataa maandamano...