Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya...