jinsia tofauti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti?

    Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti ?
  2. Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Nimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba...
  3. Nauliza nani amewahi kupata rafiki au mpenzi jinsia tofauti na yake kwenye app za Tinder, Badoo au Bumpy

    Nauliza nani amewahi kupata rafiki au mpenzi jinsia tofauti na yake kwenye app za Tinder, Badoo au Bumpy
  4. ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

    Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF. Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana, inawezakana unabishana na boss wako na hujui. Wale wa kujidai huko PM, ndiyo basi tena. Hivi hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…