jimbo la tunduru kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Ado Shaibu aichangia Shule ya Jamhuri Tshs Milioni 3

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amechangia Shilingi Milioni tatu katika harambee ya ujenzi wa Bwalo la Chakula na Ofisi ya Utawala katika Shule ya Msingi Jamhuri iliyopo Wilayani Tunduru. Ado ametoa mchango huo kwenye harambee ya wazazi iliyofanyika shuleni hapo leo tarehe 13...
  2. PreGE2025 Ado Shaibu ajitosa Ubunge Tunduru Kaskazini

    ADO SHAIBU AJITOSA UBUNGE TUNDURU KASKAZINI Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo hilo Ndugu Noel Chilemba katika Ofisi ya Jimbo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…