jimbo la siha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 INEC yasitisha Kampeni za ubunge Jimbo la Siha kufuatia kifo cha mgombea wa CUF, Daudi Ntuyehabi

    Kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Daudi Ntuyehabi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesitisha shughuli za kampeni za ubunge katika jimbo hilo hadi maelekezo mengine yatakapotolewa. Ntuyehabi, alifariki...
  2. GE2025 Jimbo la Siha kimenuka mke wa Mollel apigwa na gari lachomwa

    Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo. Akizungumza leo na...
  3. Tetesi: ‘Dkt. Shika’ apoteza Jimbo la Siha

    Asante Wajumbe wa CCM wilaya ya Siha kwa kumpeleka LIKIZO Dr wetu wa tiba asili
  4. R

    GE2025 Wakili Tumsifu Kweka, amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Siha Kupitia CCM

    Wakili wa kujitegemea Tumsifu Kweka, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, leo amejitokeza rasmi kuchukua fomu za kuwania ubunge katika Jimbo la Siha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kweka alifika katika Ofisi za CCM wilaya ya...
  5. GE2025 Wakili wa Mahakama Kuu, Tumsifu Kweka achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Siha

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro na Wakili wa Mahakama kuu Bw. Tumsifu Kweka, leo Jumanne Julai Mosi, 2025, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya uteuzi wa kugombea ubunge katika Jimbo la Siha, akiahidi kuendeleza maendeleo ya wananchi na kusimamia itikadi ya chama...
  6. PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel achukua fomu ya kutetea Ubunge wa Jimbo la Siha, Mkoani Kilimanjaro

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha.
  7. PreGE2025 Aliyewahi kuwa RC Tabora, Agrey Mwanri aitaka Siha, asema Bungeni hawaendi kina Tyson

    Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ili kugombea ubunge jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro. Mwanry amechukua Fomu hiyo mapema leo Asubuhi akiwa ameambatana na mkewe. "Wanadai mimi ni mzee, Bungeni hawaendi...
  8. PreGE2025 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Jimbo la Siha kupitia CHADEMA, Robert Gabriel Mrisho, atangaza kujiuzulu na kujivua uanachama

    Wakuu, Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Jimbo la Siha kupitia CHADEMA, Robert Gabriel Mrisho, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo pamoja na kujiondoa kuwa mwanachama wa chama hicho alichokihudumia kwa zaidi ya miongo miwili. Katika barua rasmi aliyoiwasilisha kwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya...
  9. R

    PreGE2025 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Jimbo la Siha kupitia CHADEMA, Robert Gabriel Mrisho ajiuzulu na Kujiondoa uanachama

    Katika barua rasmi aliyoiwasilisha kwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Siha, tarehe 24 Juni 2025, Mrisho amesema amekuwa mtumishi mwaminifu wa chama tangu mwaka 1995, akihusika katika kampeni na kushika nyadhifa mbalimbali zikiwemo Diwani na mjumbe wa serikali kwa tiketi ya CHADEMA “Nimejivunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…