jimbo la mtumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: GE2025 Mussa Luhamo ampeleka puta Mavunde jimbo la Mtumba

    Mambo si shwari kwa Anthony Mavunde kwani wajumbe wamezidi kumkataa.
  2. W

    GE2025 Antony Mavunde achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mtumba

    Aliyekuwa Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Mtumba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa endapo atapata ridhaa ya chama, atakuwa tayari kuwania nafasi hiyo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi. Akizungumza mara...
  3. PreGE2025 Mavunde kuwania ubunge jimbo jipya la Mtumba, atoa sababu tatu za kuiacha Dodoma mjini

    Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde ametangaza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 atagombea tena ubunge katika Jimbo jipya la Mtumba, akianisha sababu tatu za kuiacha Dodoma Mjini. Uamuzi huo ameutangaza huku akilia kuwa hakuna namna na hawezi kujigawa katika maeneo mawili akabaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…