Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...