ji kununua hisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua hisa, ninaanzaje?

    Jambo wakuu! Baada ya kusoma maandiko mengi sehemu mbalimbali yanayohusu ununuzi wa HISA,sasa ninajaribu kufikri kwa kina ili niweze kufanya maamuzi. Ninaomba kueleweshwa kwa ufasaha na uaminifu hatua za kufuata,usalama wa fedha,kiwango cha mtaji na mahali pa kuwekeza ili nipate faida. Ahsante!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…