jeshi la polisi mbeya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katibu wa CHADEMA Rungwe, Award Karonga akamatwa tuhuma za uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, ambaye ni kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za uchochezi na makosa mengine ya kijinai. Award Karonga, ambaye ni mkazi wa Katumba, anashikilia nyadhifa za Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe...
  2. GE2025 Jeshi la polisi Mbeya wafanya doria ya miguu na Mbwa, maeneo yote ya mkoa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo. Akizungumza mara baada ya doria...
  3. GE2025 Jeshi la Polisi Mbeya limewakamata makada sita wa CHADEMA kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali

    TAARIFA KWA UMMA WAFUASI WA CHADEMA WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MBEYA. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewakata wafuasi sita (6) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rungwe akiwemo Mwenyekiti wa Jimbo la Rungwe Gidion Mwakila kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali...
  4. GE2025 Polisi mna mpango gani na watu wetu mnaowashikilia? Ni siku tatu hadi sasa mmekaa kimyaa na wala hamtoi taarifa?

    Baadhi ya wananchi wamekamatwa hapa Mbarali na Jeshi la Polisi kwa sababu wamepinga matokeo ya kura za maoni za kupatikana kwa mgombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwaweka mahabusu lakini Jeshi la Polisi halitoi taarifa yoyote juu ya kukamatwa kwao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…