jeshi la jwtz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Alifikiri baada ya Uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia. Sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga

    Mpaka sasa nchi haitawaliki hii alifikiri baada ya uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia hivi sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga kama mwanzo anajua wizi alioufanya. Hali itabadilika zaidi baada ya round ya pili ya #D9 anajifanya hasikii nakwambia masikio yatazibuka. huwezi...
  2. JWTZ Liunde au kuboresha kikosi maalumu cha cyber security

    Maadui wa sasa dhidi ya mipaka yetu wanatumia teknolojia na mipaka yetu sio physical tena bali ni electronic.Je JWTZ limewezeshwa kulinda mipaka ya kieltroniki? Ushauri:Iundwe kamandi maalumu ya ulinzi wa maadui wa mitandaoni kwa kuwa sasa tupo kwenye vita na maadui waliopo mitandaoni. KWA...
  3. Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

    GT Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo. Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole. JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo...
  4. JWTZ nako kunahitajika reforms

    JWTZ kuruhusu mamluki kuingia nchini na kuua watu uliokula kiapo kuwalinda ni usaliti mkubwa. Viongozi wa jeshini kama wanaweza kusaliti nchi yao na raia wao kwa vipande vya fedha, wanashindwa nini kununuliwa na maadui wakati wa vita. Mauaji yaliotokea Tanzania hakika imani ya wananchi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…