Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo - Bara, Isihaka Mchinjita, jana Januari 15, 2026, ameendelea na ziara yake ya kikazi kwa kukutana na Viongozi pamoja na Wajumbe wa jimbo la Tanga Mjini.
Katika mkutano huo, alizungumzia matukio yanayohusiana na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...