MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza muda wake, Jesca Msambatavangu, leo amechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hatua hiyo inaonesha dhamira yake ya kuendeleza kazi ya kulitumikia jimbo hilo kwa kipindi kingine.
Akizungumza mara...