janeth ritte

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Janeth Ritte:Tupo tayari kumpigania na kumuunga mkono Dorothy Semu

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo, Janeth Ritte, ametangaza kwa msisitizo kuwa wanawake wa chama hicho wako tayari kumpigania na kumuunga mkono Dorothy Semu, Kiongozi wa Chama, kupeperusha bendera ya ACT katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza...
  2. PreGE2025 Janeth Ritte: Polisi wana njaa kama Sisi, tukiamua kushughulika nao watabaki salama? si kama unakanyaka Sisimizi tu!

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Janeth Ritte wa ACT Wazalendo "Hivi kweli, polisi ambao wana njaa kama sisi, leo tukiamua kushughulika nao watabaki salama? Sisi Watanzania tukisema tumechoka, tunataka kufanya mabadiliko, tunaweza kufanya mabadiliko." Pia, Soma: Janeth Rithe: Wanawake...
  3. R

    ACT Wazalendo Kupambania Mwenyekiti wa ngome ya wanawake ACT Janeth Ritte kuachiliwa huru

    Wakuu, Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii instagram wa Chama cha ACT Wazalendo wameweka picha ya kipeperushi yenye maandishi yanayodai Janeth Ritte aweze kuachiliwa huru Je, kwa njia hii wataweza kweli kufanikiwa kupata uhuru wa Janeth Ritte?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…