Watu wengi ni masikini kwa sababu kuu tatu
1. Ujinga
Kutokujua jinsi gani ulimwengu wa pesa unavyofanya kazi. Wengi tumekuzwa katika mfumo wa "shule"...soma nursery, mpaka A-level then omba mkopo go to UNIVERSITY ...ukimaliza tembeza bahasha kuomba ajira serikalini, ukishapata unaanza kulipa...