Wataalamu wa fasihi najua sitakua mgeni kwenu mimi bawabu wa pili niliekuwa nasimama geti la ua wa ndani wa Bi kilembwe.
Sasa hivi Tanzania kiongozi huruhusiwi kuziona changamoto za wananchi kama Bi. Kilembwe hajaziona, wananchi wanaweza wakawa wanakufa mbele yako lakini kama Bi. Kilembwe...