Mwanabodi Pascal Mayalla alileta uzi hapa akituelezea Uwezo wa CAG kikatiba ni sawa kabisa na Jaji Mkuu na kwamba agizo lake ni sawa na bill.
Leo Rais Magufuli amesema CAG siyo muhimili na mihimili ni mitatu tu Serikali, Bunge na Mahakama
Na kwamba CAG kwa kiswahili ni Mkaguzi na Mdhibiti mkuu...