israel na iran

On 1 October 2024, Iran launched 200 ballistic missiles at Israeli targets in at least two waves, marking the largest attack during the ongoing Iran-Israel conflict. The missile attack was codenamed Operation True Promise 2 (Persian: عملیات وعده صادق ۲) by Iran. It was the second direct attack by Iran against Israel after the April 2024 strikes.
Iran claimed that the attack was an act of "self-defense" in retaliation for Israel's assasinations of Hamas leader Ismail Haniyeh in Tehran, Hezbollah leader Hassan Nasrallah, and IRGC general Abbas Nilforoushan. The attacks, while more successful at saturating Israeli air defenses than in April, did not appear to cause extensive damage. Israel said it had shot down most of the missiles and there had been no harm to its Air Force's capabilities. The US Navy and Jordan also reported intercepting missiles. The two fatalities caused by the attacks were a Palestinian man killed directly by missile debris and an Israeli man indirectly. Four Palestinians, two Israelis and two Jordanians sustained minor injuries.
20 to 32 missiles hit the area of the Nevatim Airbase in the Negev, damaging a hangar and taxiway. Several others hit the Tel Nof Airbase, a school in the nearby town of Gedera, and an area north of Tel Aviv around the headquarters of the Israeli intelligence services Mossad and Unit 8200, damaging homes and a restaurant. Israeli media were barred from publishing the exact locations of impacts. Analysts suggested that Israel had deprioritized protecting Nevatim since "the cost of repairing a damaged hangar or runway is far lower than the cost of using an Arrow interceptor." Iran used the Fattah-1 and Kheibar Shekan.
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu called it a "big mistake" and vowed that Iran "will pay" for it. The US promised "severe consequences" and pledged to work with Israel to ensure Iran faces repercussions for its actions. Iran claimed the targets it attacked were those involved in the Israel–Hamas war.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, Vita ya Israel na Iran Inaweza Kugeuka Vita ya Kidunia? – Uchambuzi wa Kijasusi

    Vita kati ya Israel na Iran sasa si tena mivutano ya chini kwa chini. Ni vita ya moja kwa moja, yenye mashambulizi ya makombora, drones, na mashambulizi ya anga yanayoathiri raia na miundombinu. Swali linalozidi kuulizwa sasa ni: Je, vita hii inaweza kusambaa hadi kuwa vita ya kidunia? Huu hapa...
  2. Katika vita ya Israel na Iran, wakati Israel anapiga kichwa cha Iran, huyo Iran anapiga mkia wa Israel

    Mod usifute huu uzu. Sijapendelea upande wowote ila nimesema ukweli. Nimefuatilia kwa karibu huu mzozo lakini nimegundua kitu cha tofauti. Iran inatuma utitiri wa mabomu ilimurani yepenye na kuanguka katika ardhi ya Israel. Wakati huo Israel ina mfumo wa kuyaripua yakiwa angani hivyo machache...
  3. Picha : Uzi Maalum kwa ajili ya Kuwaombea Makamanda, Majenerali, Wakuu wa Majeshi na Vikosi, Viongozi wanaouawa na Israel huko Iran

    Tutaweka hapa picha zao ili waswaliwe kwa kweli maana gone too soon. Walipaswa wale wale bata hapa Duniyani kabla ya kwenda Ahera.
  4. Hamas watumia fursa ya vita vya Israel na Iran kuwakimbiza askari wa IDF huko kusini mwa Gaza

    Wapiganaji wa Hamas ambao kwa sasa wanapigana kwa mbinu mbadala baada ya viongozi wao wakuu kuuliwa wameonekana kuja juu katika wiki kadhaa zilizopita na kufanikiwa kuwauwa askari kadhaa wa Israel hasa maeneo ya kusini mwa jimbo la Gaza. Katika matukio ya hivi karibuni ni kuwakimbiza askari wa...
  5. Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

    Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo. Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu...
  6. Kuna jamaa humu aliwahi kuandika kuwa kupigana kwa Israel na Iran ni mpango wa Mungu kuwapa ushindi Hamas. Msipende kumhusisha Muumba na vituko vyenu

    Mimi nadhani mnachanganya Mungu na itikadi yenu. Ya Mungu ni ya Mungu, ya itikadi yenu ni itikadi Kwa hio Mungu ndio aliwatuma hamas kwenda kila nyumba na kuua kila familia na kuwachoma moto? Mungu ndie muhasisi wa ugaidi wa iran, hezbollah na hamas? Washamba kwwli nyie
  7. U

    Ndege za jeshi la Israel zafanya mashambulizi makali nchini Syria kwenye miji ya Aleppo na Idlib na kuleta madhara makubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Wanajeshi kadhaa wa Syria walijeruhiwa kutokana na "shambulio" la anga la Israeli karibu na mji wa Al-Safira, nje ya Aleppo na Idlib, vyombo vya habari vya serikali viliripoti mapema Jumamosi. Shambulio hilo lililenga maeneo kadhaa vijijini nje ya Aleppo na Idlib...
  8. Vitu walivyoshuhudia makachero wa Uajemi kwenye kambi za Ugiriki.

    Hii ni story iliyotokea enzi hizoo kabla ya Kristo, kipindi hicho superpower ni Muajemi na Mgiriki uhasama mkubwa baina yao ulileta vita vingi. Na Katika vita vyao, kuna kisa kimoja nishee nanyi, ilikuwa hivi siku moja kabla ya mtanange majenerali wa Uajemi ( Iran ya sasa) wakatuma makachero...
  9. Habari zimevuja, Israel ilikua na mpango wa kuishambulia Iran hivi karibuni

    Inasemekana Israel alikua na mpango wa kuishushia mvua ya mabomu Iran siku hizi mbili. Israel alikua anashea mpango wake huo wa kuishambulia Iran, lakini kwa bahati mbaya/nzuri zimevuja. Inasemekana kuna intelligence agency mmoja chawa upande wa us amezivujisha habari hizo. Bado haijajulikana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…