Habari wana Jf, niende moja kwa moja kwenye mada ya leo,ishara tano zinazoweza kumtokea mtu anayekaribia kufa, kabla sijaanza kupitia ishara hizo tano kwanza ningetoa mfano mmoja ambao Ni tukio la kweli kabisa, lililotokea kwny maisha yangu, tukio Hilo lilinifanya nianze kuwa mdadisi na kuanza...